Picha: Rais Samia awawasili Songea uzinduzi mgodi wa urani Namtumbo 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma tayari kwa Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani Namtumbo leo Julai 30, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *