Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa wapya Mara baada ya kuwatunuku Kamisheni ya cheo Cha Luteni Usu wakati wa maafali yaliyofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi(TMA) Monduli Mkoani Arusha leo November 28, 2024.





