Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akifunga Kikao Maalum cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) Taifa katika ukumbi wa Parokia ya Bombambili, Wilaya Songea mkoani Ruvuma, leo Septemba 28, 2024.