Rais Samia: Ajira zaidi ya 4,000 kuzalishwa Kiwanda cha Urani

“Tathmini iliyofanywa inaonesha kuwa mradi huu utakuwa na uhai wa uzalishaji kwa muda wa zaidi miaka ishirini. Katika kipindi hicho Tanzania itapata manufaa na faida zifuatazo; Moja, uwekezaji wa fedha za kigeni unaokadiriwa kufikia kiasi cha dola za Marekani bilioni 1.2. Hizi ndizo fedha zitakazowekezwa kwenye mradi huu. Lakini pili ni ajira, ajira zinazopata 3,500 mpaka 4,000 katika kipindi cha ujenzi wa miundombinu. Ajira za kudumu zitakuwa 750 na ajira nyingine 4,500 kutokana na shughuli nyingine katika eneo la mradi,” Rais wa , Dk Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *