Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride maalumu wakati wa hafla ya Kutunuku Kamisheni na kushiriki Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regular) kwenye Chuo Cha Mafunzo ya kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo November 28, 2024.



