Rais Samia akipata chai na vitumbua Ikulu Ndogo Tanga

Chai na vitumbua asubuhi katika Ikulu Ndogo Tanga, kabla ya kuanza kazi kuelekea Muheza na kisha Mkinga kuzungumza na wananchi na kuhusu kazi, na namna zaidi ya Shilingi Trilioni 3.1 toka serikalini kuja Mkoa wa Tanga zilivyobadili maisha yao kupitia miradi mbalimbali katika kipindi cha miaka minne.

Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Channels yake

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *