Friday, March 20, 2026
spot_img
HomeHabariRais Samia amteua Makonda Waziri wa Habari

Rais Samia amteua Makonda Waziri wa Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Januari 8, 2026 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka Mhe. Paul Christian Makonda (Mb.) ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huu, Mhe. Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments