Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Dk. Ndugulile Karimjee

Rais Dk.Samia Suluhu Hassan alipowasili Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Dk.Faustine Ndugulile leo Desemba 02, 2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *