Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Msaafu kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Islamic Foundation wakati wa hafla ya Uwekaji Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Msikiti wa Ghaith Mkoani Morogoro leo November 25, 2024.


