Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki katika matukio mbalimbali ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini kwa mwaka 2025, yaliyofanyika leo Februari 3, 2025, katika Viwanja vya Chinangali, Dodoma.

Maadhimisho haya yanaongozwa na kaulimbiu isemayo: “Nafasi ya Taasisi Zinazosimamia Haki Madai Katika Kufikia Malengo Makuu ya Dira ya Maendeleo.”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *