Rais Samia aweka jiwe la msingi Kiwanda cha Uchenjuaji Urani Namtumbo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa wa Kiwanda Cha Majaribio Cha Uchenjuaji wa Madini ya Urani (Uranium) Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma leo Julai 30, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *