Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa Msikiti wa Ghaith Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan leo November 25, 2024 ameweka Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Msikiti wa Ghaith Mkoani Morogoro ambao Ujenzi wake utagharimu Shilingi Bilioni 7 na utakuwa na uwezo wa kuchukuwa Waumini 3,000 kwa wakati Mmoja.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *