Rais Samia azindua usafirishaji mzigo kwa SGR,jiwe la msingi Kwala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki uzinduzi wa Usafirishaji wa mizigo kwa treni ya SGR, Kuweka Jiwe la Msingi ujenzi wa Kongani ya Viwanda Kwala na Kuzindua Bandari kavu ya Kwala wakati wa Ziara Mkoani Pwani leo Julai 31, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *