Rais Samia azindua usambazaji wa Nishati Safi na kugawa mitungi ya gesi Muheza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akitembelea Mabanda wakati Uzinduzi wa Usambazaji wa Nishati Safi ya Kupikia na Ugawaji wa Mitungi ya Gesi kwa Wananchi Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga leo February 27, 2025.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *