Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye mkutano wa ndani uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha leo Novemba 30, 2024.







