Samia: Barabara hii inakwenda kuifungua Tanga kiutalii na kibiashara

“Barabara hii tunayoiunganisha inakwenda kuifungua Tanga kiutalii na kibiashara pia. Maeneo kadhaa ya utalii sehemu mbalimbali za Tanga ambayo hayafikiki kwa barabara hii ni rahisi kumtoa mtalii Saadan na kumpeleka maeneo mengine ya kufanya utalii ndani ya Tanga, lakini ni ufunguzi wa korido ya kibiashara pia,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *