“Manaibu Makatibu Wakuu na nyinyi kwa sababu tunakwenda kuimarisha hasa upande wa mabalozi wa kisiasa. Na mabalozi wengi wa upande wa kisiasa, kwenye ubalozi kuna aina mbili professional na wa kwangu wanaoniwakilisha huko. Tunawarudisha ili ili waje watuunge mkono kwenye kampeni za Uchaguzi huku,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan.