Serikali yanadi Mkutano wa EAPCE 2025 kwa wanahabari

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ameunadi mkutano wa EAPCE 25 katika Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari wenye lengo la kuzungumzia mafanikio kwenye sekta ya nishati.

Mkutano huo utafanyika tarehe 5 hadi 7 Machi, 2025 kwenye ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam na kushiriki Sna nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *