TFF yaufungulia Uwanja wa Jamhuri Dodoma

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia Uwanja wa Jamhuri Dodoma baada ya kukidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.

Uwanja huo awali ulifungiwa kutokana na changamoto za miundombinu, lakini baada ya maboresho, umepitishwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu. TFF imezikumbusha klabu kuboresha viwanja vyao kwa ajili ya kuongeza ushindani na thamani ya ligi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *