TLS: Tukishirikiana na Serikali sio kulamba asali

“Mheshimiwa Mgeni rasmi. Nikijaribu kuangalia dira ya Taifa ya maendeleo na hali ilivyo ya kisheria, sisi matarajio yetu ni kwamba wakati tukiendelea kuboresha na kujipanga, tuhakikishe kwamba tunaweka utaratibu wa kisheria wa kuhakikisha kuwa sheria na sera zinatungwa katika namna ya ushirikishwaji wa kutosha wa wananchi katika ngazi zote. Jambo la pili, kujenga na kuimarisha ushirikiano wa serikali na sekta binafsi kama ambavyo tumekwisha kuanza. Kwa hiyo tunaposhirikiana na serikali hatulambi asali,”Rais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *