“Mchango wa serikali katika kuwasaidia wananchi wa makosa ya jinai kwa mwaka 2024 tulitoa takribani mawakili 380 kutoka kwenye matawi yetu yaliyosambaa nchi nzima. Vile vile TLS kama nilivyosema tumekuwa tukishirikiana na serikali hususan Wizara ya Katiba na Sheria. Vile vile tumeshirikiana katika kuendesha huduma ya msaada wa kisheria wa Watanzania wa hali ya chini waliopo pembezoni inayoenda kwa jina la Mama Samia Legal Aid,”-Rais wa Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi.