Waziri Aweso aendelea na kampeni Pangani, awahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura

Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeni jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.


Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Pangani ameendelea kuwanadi wagombea wa CCM kata kwa kata na kijiji kwa kijiji huku akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 27 Nov 2024.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *