Saturday, December 13, 2025
spot_img
HomeMichezoRayvanny na Nora Fatehi wachochea hamu ya mashabiki

Rayvanny na Nora Fatehi wachochea hamu ya mashabiki

Mashabiki wa Bongo Fleva wamepagawa na vionjo vya wimbo mpya “Oh Mama Tetema”, toleo la nne, wa Rayvanny na msanii wa Morocco, Nora Fatehi.

Vipande vya video vilivyoachwa mitandaoni vimezua taharuki kutokana na mauno na uchezaji wa kipekee wa wasanii hao, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu kuachia rasmi kwa wimbo mzima.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments