Monday, December 8, 2025
spot_img
HomeHabariWagombea urais Samia, Dk. Mwinyi wamwombea dua Hayati Karume

Wagombea urais Samia, Dk. Mwinyi wamwombea dua Hayati Karume

Wagombea urais, Dk. Samia Suluhu Hassan na mgombea urais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi pamoja na viongozi wengine wakiomba dua kwenye kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar leo Septemba 19, 2025.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments