Shamrashamra zimepamba moto mkoani Arusha kuelekea mkesha wa kumpokea Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), utakaofanyika tarehe 1 Oktoba 2025 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume.
Kesho yake, tarehe 2 Oktoba 2025, Dkt. Samia atahutubia maelfu ya wananchi wa Arusha kupitia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu.
Kwa hakika, mti mkubwa hujulikana kwa kivuli chake, tukutane site.




