Afya

Hospitali ya Aga Khan ipo tayari kutoa huduma ya dharula wageni mkutano wa nishati

Katika kuhakikisha wageni watakaohudhuria mkutano mkubwa wa nishati wanakuwa salama kiafya muda wote, Waziri wa Afya Jenister Muhagama ametembelea hospitali ya Aga Khan iliyoko Jijini Dar es Salaam kwaajili kuangalia namna walivyojipanga kupokea wagonjwa ikitokea dharula. Mkutano huo utawakutanisha Wakuu wa Nchi 53 wa Afrika wanaojihusiha na masuala ya nishati unaotarajiwa kufanyika kuanzia kesho na

Hospitali ya Aga Khan ipo tayari kutoa huduma ya dharula wageni mkutano wa nishati Read More »

Mkurugenzi wa Tiba Muhimbili ateuliwa bosi Kitengo cha Huduma za Tiba Umoja wa Afrika

Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ameteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) yenye makao makuu yake nchini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuanza kazi Februari, 2025. Akiagana na Menejimenti ya MNH mwishoni mwa wiki hii, Dkt. Rwegasha

Mkurugenzi wa Tiba Muhimbili ateuliwa bosi Kitengo cha Huduma za Tiba Umoja wa Afrika Read More »

Wasanii wampongeza Rais Samia kwa fursa kupima moyo bure JKCI

WASANII ambao wameendelea kuchangamkia fursa ya kupima moyo bure katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan wamempongeza Rais kwa kuwapa fursa hiyo. Akizungumza  wakati wa uchunguzi wa moyo kwa wasanii hao jana, Mkurugenzi wa taasisi hiyo, Dk. Peter Kisenge alisema amefurahi kuona wasanii wanachangamkia fursa hiyo na kuwataka

Wasanii wampongeza Rais Samia kwa fursa kupima moyo bure JKCI Read More »

Amref Tanzania yakabidhi magari TAMISEMI, kuimarisha huduma za afya

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia afya Dk. Grace Magembe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa ya Mara na Simiyu kuyatunza magari wanayokabidhiwa ili yaendelee kuwahudumia wananchi katika eneo la afya kwa muda mrefu zaidi. Dkt.  Grace ameyasema hayo katika zoezi la kukabidhi magari mawili kwa Makatibu Tawala waliowakilishwa na Waganga Wakuu wa Mikoa

Amref Tanzania yakabidhi magari TAMISEMI, kuimarisha huduma za afya Read More »

LSF, Smile for Community wajengea vyoo shule za sekondari Mtwara

SHIRIKA la Uwezeshaji wa Kisheria linalofahamika kama Legal Service Facilities(LSF), kwa kushirikiana na wadau wengine wakiwamo Smile for Community, wamechangia kuboresha miundombinu ya shule ya Sekondari ya Nanyamba na Mnyawi zilizopo mkoani Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Run for Binti, Flora Njelekela amesema maboresho waliyofanya kwenye shule hizo ni ujenzi wa vyoo vyenye matundu

LSF, Smile for Community wajengea vyoo shule za sekondari Mtwara Read More »

Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa

MADAKTARI wa Tanzania wamerejea nchini baada ya kuhitimisha Kambi tiba nchini Comoro kwa kutoa huduma kwa wagonjwa 2,770 na kufanya upasuaji kwa wagonjwa saba. Kwenye kambi hiyo ya siku saba wameweza kubaini wagonjwa takriban 269 wanahitaji rufaa za matibabu zaidi nje ya nchi na pia kuainisha fursa zaidi za ushirikiano katika sekta ya Afya. Akizungumza

Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa Read More »