Asia Halamga: “2030 Watanzania wote watakuwa wamefikiwa na nishati ya umeme”

“Bunge hili katika mkutano wa 18 kikao cha nne linaazimia kwa dhati kumpongeza Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha kuwa ifikapo 2030, Watanzania wote watakuwa wamefikiwa na miundombinu ya Umeme, “Asia Halamga-Mbunge wa Viti Maalumu.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *