Saturday, November 8, 2025
spot_img
HomeHabariRais Samia ameithibitishia Afrika kuwa uongozi siyo jinsia ni uwezo wa mtu

Rais Samia ameithibitishia Afrika kuwa uongozi siyo jinsia ni uwezo wa mtu

“Naomba kutumia nafasi hii kuieleza dunia juu ya umahiri mkubwa alionao Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa katika masuala ya diplomasia, maana haikuwa jambo rahisi kushawishi dunia kuamini kuwa Tanzania inaweza kuwa mwenyeji wa mkutano mkubwa Nishati wa Afrika.

Hili ni jambo kubwa lakini inaonesha pia Rais wetu ameweka historia kuwa kiongozi mpambanaji na mahiri, “Juliana Shonza Mbunge wa Viti Maalumu CCM.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments