Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoAucho ataja sababu kubadili mawazo kutocheza tena Tanzania

Aucho ataja sababu kubadili mawazo kutocheza tena Tanzania

“Ni kweli niliwahi kusema sitacheza tena kwa timu yoyote nchini Tanzania, lakini baada ya kuona mradi wa Singida Black Stars, nilibadilisha mawazo yangu. Mimi ni mpenzi wa ushindani, na Singida ni timu yenye ushindani mkubwa. Namfahamu Kocha Gamondi, ambaye ni kocha anayeishi kwa ushindani. Hii ndiyo sababu nyingine kubwa iliyonifanya nikubali kujiunga na Singida Black Stars.”- @auchokhalidofficial

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments