Admin

Dk.Mpango aipongeza Wizara ya Maji usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Philip Mpango ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Maji Ibihwa, Wilayani Bahi, Jijini Dodoma. Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa usimamizi mzuri na utejelezaji wa miradi ya maji nchini.Pamoja na hilo pongezi hizi zimejukisha mradi wa maji Ibihwa na kusisitiza kuongeza kasi ya […]

Dk.Mpango aipongeza Wizara ya Maji usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maji nchini Read More »

DART hakikisheni wakazi Dar wanapata kadi janja za mabasi ya mwendokasi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Wakala wa Mabasi yaendayo kwa Haraka (DART) kuhakikisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam wanapata kadi janja kwa urahisi na kuanza kuzitumia kwa ajili ya usafiri wa mabasi ya mwendokasi. Mhe. Mchengerwa ametoa maelekezo hayo jijini Dar

DART hakikisheni wakazi Dar wanapata kadi janja za mabasi ya mwendokasi Read More »

Samia akutana na Rais wa China, asaini makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kikao na Rais wa China, Xi Jinping wamejadiliana kuimarisha uhusiamo mzuri uliodumu zaidi ya miaka 60. Rais Samia alikutana na Rais Jinping pamoja na ujumbe wake mapema leo katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing. Aidha, Rais Samia amefanikiwa kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia ya Tanzania na

Samia akutana na Rais wa China, asaini makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA Read More »

Benki ya NBC, ZSSF wasaini makubaliano ya mauzo ya nyumba za gharama nafuu Zanzibar 

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji (MoU) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) yanayotoa fursa kwa taasisi hizo mbili kuuza nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na mfuko huo katika makazi ya kisasa yanayofahamika kama Dkt. Hussein Mwinyi yaliyopo eneo la Mombasa kwa Mchina Mwanzo, visiwani Zanzibar. Makubaliano

Benki ya NBC, ZSSF wasaini makubaliano ya mauzo ya nyumba za gharama nafuu Zanzibar  Read More »

Miili 17 yapatikana kufuatia ajali ya helikopta ya watalii Urusi

Waokoaji katika eneo la mashariki mwa Urusi Urusi hawakupata mtu yeyote aliyenusurika kwenye mabaki ya helikopta iliyotoweka ikiwa imebeba watu 22 wengi wao wakiwa watalii. Ndege hiyo ilitoweka siku ya Jumamosi baada ya kupaa kutoka kambi moja karibu na volcano ya Vachkazhets katika rasi ya Kamchatka. Maafisa wanasema miili 17 ilikuwa imepatikana kufikia sasa. Eneo

Miili 17 yapatikana kufuatia ajali ya helikopta ya watalii Urusi Read More »

Fadlu, Ahoua bora Agosti

Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Bara wa mwezi Agosti huku nyota wa timu hiyo, Jean Charles Ahoua akichaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya mwezi huo. Fadlu amewapiga chini Patrick Aussems wa Singida Black Stars na Abdalah Mohamed wa Mashujaa alioingia nao fainali baada ya kocha huyo raia

Fadlu, Ahoua bora Agosti Read More »

Ndoa ya Dabo na Azam imevunjika

Klabu ya Azam FC imetangaza rasmi kuachana na kocha Youssouph Dabo na kuvunja benchi la ufundi la timu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Septemba 3, 2024 inaeleza kuwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. “Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC na kocha, Youssouph Dabo, wamefikia makubaliano ya pande

Ndoa ya Dabo na Azam imevunjika Read More »

PSSSF Kidigitali yabisha hodi Chuo cha Polisi Moshi

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umewasajili kwenye Mfumo wa Kilelektroniki, PSSSF Kidigitali, Askari Polisi wanafunzi 3500 katika Chuo Cha Polisi (CCP), kilichoko mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro. Akizungumza kwenye zoezi hilo lililofanyika Septemba 2, 2024, Meneja wa PSSSF Kanda ya Kati, Bw. Michael Bujiba, amesema, PSSSF imefika Chuo Cha Polisi Moshi

PSSSF Kidigitali yabisha hodi Chuo cha Polisi Moshi Read More »