Mashujaa kuongeza wachezaji wanne dirisha dogo
Uongozi wa Klabu ya Mashujaa umetangaza mpango wa kusajili wachezaji wanne wakati wa dirisha dogo la usajili ili kuimarisha kikosi chao kwa msimu huu. Meneja wa timu hiyo, Athumani Amiri, amesema maboresho yatakuwa kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi kwa lengo la kuongeza ushindani na kufikia malengo ya kushiriki mashindano ya kimataifa msimu ujao. “Tunahitaji […]
Mashujaa kuongeza wachezaji wanne dirisha dogo Read More »