Admin

Fadlu, Ahoua bora Agosti

Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amechaguliwa kuwa kocha bora wa Ligi Kuu Bara wa mwezi Agosti huku nyota wa timu hiyo, Jean Charles Ahoua akichaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya mwezi huo. Fadlu amewapiga chini Patrick Aussems wa Singida Black Stars na Abdalah Mohamed wa Mashujaa alioingia nao fainali baada ya kocha huyo raia […]

Fadlu, Ahoua bora Agosti Read More »

Ndoa ya Dabo na Azam imevunjika

Klabu ya Azam FC imetangaza rasmi kuachana na kocha Youssouph Dabo na kuvunja benchi la ufundi la timu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Azam FC leo Septemba 3, 2024 inaeleza kuwa uamuzi huo umechukuliwa baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili. “Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC na kocha, Youssouph Dabo, wamefikia makubaliano ya pande

Ndoa ya Dabo na Azam imevunjika Read More »

PSSSF Kidigitali yabisha hodi Chuo cha Polisi Moshi

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umewasajili kwenye Mfumo wa Kilelektroniki, PSSSF Kidigitali, Askari Polisi wanafunzi 3500 katika Chuo Cha Polisi (CCP), kilichoko mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro. Akizungumza kwenye zoezi hilo lililofanyika Septemba 2, 2024, Meneja wa PSSSF Kanda ya Kati, Bw. Michael Bujiba, amesema, PSSSF imefika Chuo Cha Polisi Moshi

PSSSF Kidigitali yabisha hodi Chuo cha Polisi Moshi Read More »

Shule Dodoma zaanza kuunga mkonoMatumzi nishati safi ya kupikia

BAADHI ya wamiliki wa shule mkoani Dodoma wameunga mkono wito wa Rais Samia Suluhu Hassan wa matumizi ya Nishati safi shuleni, wakisifu na kueleza ni hatua ya kuelekea katika mwelekeo sahihi. Mmiliki na Mwanzilishi wa Shule za Elshaddai mkoani humo, Juliana Kalinga anasema mabadiliko hayo ya nishati safi katika taasisi hiyo yamesaidia kupunguza gharama zisizo

Shule Dodoma zaanza kuunga mkonoMatumzi nishati safi ya kupikia Read More »

Benki ya NBC yasisitiza dhamira yake kuchochea ukuaji Sekta ya Utalii, Waziri Chana apongeza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeshiriki kikamilifu kwenye kilele cha Maadhimisho ya miaka 60 ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi iliyopo mkoani Morogoro huku ikiahidi kuendelea kubuni huduma mbalimbali za kifedha mahususi kwa wadau sekta ya utalii nchini. Hatua ya benki hiyo inalenga kuunga mkono jitihada za serikali katika kuvutia idadi kubwa ya watalii

Benki ya NBC yasisitiza dhamira yake kuchochea ukuaji Sekta ya Utalii, Waziri Chana apongeza Read More »

Maonyesho ya kimataifa ya viwanda kukutanisha waonyeshaji 500 Dar

SHIRIKISHO la Viwanda Tanzania (CTI), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), wameandaa maonesho ya kimataifa ya wenye viwanda (TIMEXPO 2024) yatakayoshirikisha viwanda 500. Mkurugenzi Mkuu wa CTI, Mhandisi Leodegar Tenga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa maonyesho hayo yatafanyika kuanzia Septemba 26 hadi Oktoba 2, katika Viwanja vya Saba Saba jijini

Maonyesho ya kimataifa ya viwanda kukutanisha waonyeshaji 500 Dar Read More »

Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya madini ndani ya nchi

Waziri wa Madini Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madini hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali,Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika kukuza uchumi wa nchi wazalishaji ikiwa ni sehemu ya mkutano wa jukwaa la INDONESIA

Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya madini ndani ya nchi Read More »