Admin

Rais Samia aongeza mishahara wa Wafanyakazi kwa asilimia 35.1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa Serikali itaongeza kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma kwa asilimia 35.1. Rais Dkt. Samia amesema kuwa Nyongeza hii itaanza kutumika Mwezi Julai 2025, itaongeza kima cha chini cha mshahara kutoka shilingi 370,000 hadi shilingi 500,000. Akizungumza Katika Kilele […]

Rais Samia aongeza mishahara wa Wafanyakazi kwa asilimia 35.1 Read More »

Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi

▪️📌Waziri Mavunde aelekeza mchakato wa mabadiliko ya sheria kuanza. ▪️📌Aelekeza kanuni kubadilishwa kupunguza tozo kwa hekta kufikia 20,000. ▪️📌Wazalishaji Chumvi wampongeza Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa kiwanda cha Chumvi Mkoani Lindi ▪️📌Serikali kuwezesha wazalishaji chumvi kumiliki viwanda vya kuchakata chumvi Dodoma Serikali ipo mbioni kutambulisha Leseni mpya ya uzalishaji wa chumvi ili

Serikali kutambulisha leseni mpya maalum ya uzalishaji chumvi Read More »

REA yawezesha Magereza yote Tanzania Bara kuanza kutumia Nishati Safi ya kupikia

📌 Matumizi ya kuni yawa historia Jeshi la Magereza Tanzania Bara limepongezwa kwa kufanikiwa kuanza kutumia mifumo ya nishati safi ya kupikia katika magereza zake zote nchini. Pongezi hizo zimetolewa leo Aprili 30, 2025 Jijini Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali (mstaafu), Jacob Kingu wakati wa ziara yake pamoja

REA yawezesha Magereza yote Tanzania Bara kuanza kutumia Nishati Safi ya kupikia Read More »

Waziri Chana akutana na Sekretarieti ya Mkataba wa Lusaka 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Sekretarieti ya mkataba wa Lusaka (Lusaka Agreement) kuhusu Mkutano wa 14 wa Baraza la Usimamizi wa Mkataba wa Lusaka(LATF) unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha kuanzia Mei 6-8, 2025. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dodoma

Waziri Chana akutana na Sekretarieti ya Mkataba wa Lusaka  Read More »

Mrema: Mwenye ushahidi wa kikao kilichoamua CHADEMA izuie uchaguzi aulete

Mkurugenzi wa zamani wa Itifaki na Mawasiliano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mrema, amesema hakuna vikao vya Kamati Kuu na Mkutano Mkuu wa chama hicho viliyoazimia kuzuia uchaguzi. Mrema ameyasema hayo katika mtandao wake wa X zamani Twitter alipokuwa anamjibu Mwanasheria Mkuu wa chama chao, Dr. Rugemeleza Nshala, baada ya kusisitiza kuwa

Mrema: Mwenye ushahidi wa kikao kilichoamua CHADEMA izuie uchaguzi aulete Read More »

How Technology is Transforming Tax Collection: The case of ETS in Tanzania

By Cynthia Bavo | Media and Tech Development Specialist Taxes are a crucial source of revenue for governments. However, many Developing Countries struggle to collect sufficient revenues to finance the most basic of services such as healthcare and education, and finance investments in human capital and infrastructure, placing a disproportionate burden on citizens, particularly the

How Technology is Transforming Tax Collection: The case of ETS in Tanzania Read More »