Sunday, January 25, 2026
spot_img
HomeHabariMiaka 5 ya uongozi madhubuti, uadilifu, unyenyekevu, maono na matokeo makubwa

Miaka 5 ya uongozi madhubuti, uadilifu, unyenyekevu, maono na matokeo makubwa

MAARIFA MEDIA Leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya NMB, kwa kutimiza miaka mitano kama Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB.

Umekuwa muhimili Mkubwa kwenye sekta ya Benki nchini kupitia uwekezaji kwa watu, mageuzi ya kidijitali, utawala bora, miradi ya kijamii na kuongeza thamani ya benki sokoni.

Kila la Heri unapoanza safari nyingine ya mafanikio ndani ya Benki ya NMB.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments