Admin

Fadlu Afunguka, aitaja Dabi

Kocha wa Simba, Fadlu Davids, amethibitisha rasmi kuwa timu yake inajiandaa kwa mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga utakaopigwa Juni 25, Uwanja wa Benjamin Mkapa. Fadlu alitoa kauli hiyo baada ya ushindi wa 5-0 dhidi ya Kengold FC, akieleza kuwa kwanza watakamilisha mchezo dhidi ya Kagera Sugar kabla ya kuelekeza nguvu zote kwenye […]

Fadlu Afunguka, aitaja Dabi Read More »

Kongamano la 13 MUHAS: Mifumo ya afya, teknolojia na mustakabali wa afya

Watafiti katika sekta ya afya wamefanikiwa kuwasilisha tafiti zaidi ya 200 katika Kongamano la 13 la Kisayansi la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), tafiti ambazo zimeelekezwa katika kusaidia jamii katika nyanja mbalimbali zikiwemo matumizi ya dawa, mifumo ya afya, afya ya akili pamoja na matumizi ya teknolojia. Akizungumza Juni 19, 2025

Kongamano la 13 MUHAS: Mifumo ya afya, teknolojia na mustakabali wa afya Read More »

Waendelezaji miradi ya nishati jadidifu watakiwa kuchangamkia fursa za uwezeshwaji kutoka REA

📌Ni kwa miradi inayozalisha chini ya Megawati 10 Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu ametoa wito kwa waendelezaji wa miradi ya nishati jadidifu kote nchini kuchangamkia fursa za uwezeshwaji zinazotolewa na Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kuwa na miradi yenye tija kwa Taifa. Ametoa wito

Waendelezaji miradi ya nishati jadidifu watakiwa kuchangamkia fursa za uwezeshwaji kutoka REA Read More »

 Balozi Kingu ahimiza ulinzi na usalama mradi wa umeme Lupali Njombe

·       Waishukuru REA kwa uwezeshaji wa zaidi ya shilingi bilioni 4.3 ·       Utekelezwaji wake wafikia 97.5% Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu ameelekeza waendelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa kilowati 317 kwa kutumia maporomoko ya Mto Lupali kuimarisha ulinzi na usalama wa mradi

 Balozi Kingu ahimiza ulinzi na usalama mradi wa umeme Lupali Njombe Read More »

Jukwaa la nne ushirikishwaji wa Watanzania Sekta ya Madini lilete mabadiliko – Ollal

Wadau wa madini nchini wametakiwa kutumia Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta la Madini kama kichocheo cha mabadiliko katika Sekta ya Madini hasa kwenye eneo la ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini  katika eneo la ajira na utoaji wa huduma kwenye migodi ya madini kama vile  usambazaji wa vifaa

Jukwaa la nne ushirikishwaji wa Watanzania Sekta ya Madini lilete mabadiliko – Ollal Read More »

Ridhiwani Kikwete: Nidhamu na maadili kazini ni msingi wa mfanisi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, amewataka waajiri na waajiriwa kuhakikisha wanazingatia nidhamu, maadili na utawala bora katika maeneo ya kazi ili kuweka uwiano mzuri kati ya wafanyakazi na viongozi wao. Amesema nidhamu kazini, maadili na utumishi uliotukuka ni mambo ya msingi ambayo viongozi na wakuu

Ridhiwani Kikwete: Nidhamu na maadili kazini ni msingi wa mfanisi Read More »

SMZ yaipongeza NMB kwa kudhamini, kushiriki Kongamano la Uwekezaji Z’bar

NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kupitia Mamlaka yake ya Uwekezaji (ZIPA), imeishukuru, kuipongeza kuitunukia Cheti Maalum Benki ya NMB kwa ‘kulibeba mabegani’ kwa udhamini mnono na ushiriki wa Kongamano la Uwekezaji Zanzibar 2025, lililofungwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi. Kongamano la Uwekezaji Zanzibar (ZIS), limefanyika kwa siku

SMZ yaipongeza NMB kwa kudhamini, kushiriki Kongamano la Uwekezaji Z’bar Read More »