Baraza aahidi Pamba Jiji isiyopoteza nyumbani

Kocha mpya wa Pamba Jiji, Francis Baraza, ameahidi kuifanya timu hiyo iwe ngumu kufungwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Amesema amewahi kufanya hivyo akiwa na Biashara United na Dodoma Jiji.

Baraza amerithi mikoba ya Fred Minziro aliyeondolewa hivi karibuni.

Pamba Jiji pia imeanza kuimarisha kikosi kwa kusajili wachezaji akiwemo Kabaso Chongo, Nicolaus Gyan, na Umar Abba kutoka Rwanda.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *