Baadhi ya wabunge waliokuwa wanasafiri kuelekea Mombasa Kenya kushiriki mashindano ya 14 ya Mabunge ya Afrika Mashariki, wamepata ajali katika eneo la Mbande mkoani Dodoma baada ya basi waliokuwa wakisafiria kugongana na Lori.

Baadhi ya majeruhi wamekimbizwa hospitali ya Uhuru na Benjamini Mkapa kwa ajili ya matibabu.

