Biashara

NMB Foundation yawanoa wakulima wa zao la kakao Kyela, Serikali yaipongeza

SERIKALI imeipongeza Taasisi za NMB Foundation kwa kuendesha Mafunzo kwa Wakulima wa Zao la Kakao kutoka Vyama vya Msingi vya Ushirika wa Kilimo na Masoko (AMCOS) wilayani Kyela, mkoani Mbeya, na kwamba kilichofanywa na taasisi hiyo ni kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan. Mafunzo hayo yaliyolenga Kuongeza Thamani ya Zao la Kakao, Masoko […]

NMB Foundation yawanoa wakulima wa zao la kakao Kyela, Serikali yaipongeza Read More »

Vodacom yazindua msimu wa 4:Digital Accelerator, Biashara bunifu 15 zateuliwa kushiriki  Design Sprint

Vodacom Tanzania PLC, kwa kushirikiana na Huawei Tanzania, leo imezindua rasmi Msimu wa 4 wa Vodacom Digital Accelerator (VDA), hatua nyingine katika kusaidia ubunifu na ujasiriamali nchini . Mwaka huu, biashara bunifu 15 zimechaguliwa kushiriki katika programu ya siku 5 ya Design Sprint, itakayoendeshwa na wataalam wa kimataifa kutoka programu ya MassChallenge ya nchini Marekani.

Vodacom yazindua msimu wa 4:Digital Accelerator, Biashara bunifu 15 zateuliwa kushiriki  Design Sprint Read More »

NMB yaandika historia;Benki Bora kwa Uendelevu Barani Afrika

Dar es Salaam Benki ya NMB inatangaza mafanikio ya kihistoria ya ushindi wa tuzo sita za kimataifa kutoka kwa majarida mawili mashuhuri duniani – jarida la Euromoney linalochapishwa London, Uingereza, na Global Banking & Finance Magazine lenye makao makuu yake New Jersey, Marekani. Ushindi huu mkubwa unaashiria kutambuliwa kwa ubora wa huduma, ubunifu na mchango

NMB yaandika historia;Benki Bora kwa Uendelevu Barani Afrika Read More »

Benki ya Exim yatangaza mafanikio makubwa na mwelekeo madhubuti mwaka 2025

Benki ya Exim Tanzania imeanza mwaka kwa mafanikio makubwa, baada ya kuhitimisha robo ya kwanza ya mwaka 2025 kwa matokeo chanya yanayoonesha kasi ya ukuaji, ufanisi wa utendaji na jitihada madhubuti zinazolenga ubunifu na ujumuishaji wa huduma za kifedha kwa wote. Kwa kipindi kilichoishia Machi 2025, benki ya Exim imetoa takwimu thabiti za kifedha ambazo

Benki ya Exim yatangaza mafanikio makubwa na mwelekeo madhubuti mwaka 2025 Read More »

REA yahamasisha fursa ya mkopo ujenzi wa vituo vidogo vya bidhaa za mafuta vijijini

📌Watanzania watakiwa kuchangamkia ujenzi wa vituo vidogo vya mafuta ya Dizeli na Petroli Vijijini 📌TAPSOA yaipongeza REA kwa kuhamasisha upatikanaji wa uhakika wa bidhaa za mafuta vijijini kwa usafi na usalama 📍Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea kuwahamasisha Watanzania kuchangamkia fursa ya mikopo kwa ajili ya kuwezesha ujenzi na uendeshaji

REA yahamasisha fursa ya mkopo ujenzi wa vituo vidogo vya bidhaa za mafuta vijijini Read More »

Serikali yaipongeza CTI na TANTRADE maandalizi mazuri ya EXPO 2025

SERIKALI imelipongeza Shirikisho  la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE),  kuandaa vyema uratibu wa Maonesho ya Kimataifa ya Wazalishaji  yajulikanayo kama TIMEXPO 2025. Maonyesho hayo yatafanyika kuanzia tarehe 19 hadi 22 Novemba mwaka huu  katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam na yanatarajiwa kuhudhuriwa na waonyeshaji

Serikali yaipongeza CTI na TANTRADE maandalizi mazuri ya EXPO 2025 Read More »

Sekta  ya Madini yafikia mchongo wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa

▪️ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪️*Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025* ▪️ Sekta  Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni ▪️ Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa Sekta ya Madini 📍 Dodoma Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya

Sekta  ya Madini yafikia mchongo wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa Read More »