Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Uzinduzi wa Kampeni za CCM katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe Dar es salaam leo August 28, 2025.










