Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Chifu Mkuu Hangaya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha aliposhiriki Tamasha la Utamaduni wa Bulabo Kanda ya Ziwa katika kituo Cha Utamaduni na Makumbusho ya Wasukuma Bujora Mkoani Mwanza leo Juni 21, 2025.






