Coastal Union yaanza kambi ya mapema

Coastal Union imeanza kambi jijini Tanga kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu na Kombe la FA.

Ofisa Habari, Abbas El Sabri, amesema baada ya wiki moja watahamia mkoa mwingine.

Wachezaji wote wameshawasili na klabu inatarajia kutangaza kocha mpya raia wa Tanzania kutoka Zanzibar pamoja na majina ya wachezaji wapya.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *