Saturday, March 7, 2026
spot_img
HomeHabariDitopile asimamisha mji, asindikizwa na maelfu akichukua fomu Kondoa Mjini

Ditopile asimamisha mji, asindikizwa na maelfu akichukua fomu Kondoa Mjini

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariamu Ditopile, leo Agosti 26, 2025, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mjini kupitia chama hicho.

Shughuli hiyo imefanyika katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo hilo, ambapo wanachama wa CCM na wananchi walijitokeza kwa wingi kumpa sapoti.

Katika hatua nyingine, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Othuman Omary Duga, ametangaza kuwa chama chake hakitasimamisha mgombea katika Jimbo la Kondoa Mjini, ili kumpa nafasi Mariamu Ditopile kuwania nafasi hiyo kupitia CCM.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments