Thursday, March 5, 2026
spot_img
HomeHabariDk. Jafo atembelea banda la REA kwenye Mkutano wa Kikanda wa Nishati...

Dk. Jafo atembelea banda la REA kwenye Mkutano wa Kikanda wa Nishati 2024

Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini

Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia

Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati akifunga Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 uliofanyika leo tarehe 5 Disemba, 2024 jijini Arusha.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments