“Tunamshukuru Mwenyezimungu kwa uwepo wa kiongozi mmoja walioshiriki kikamilifu kuifufua jumuiya yetu Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda. Mwenyezimungu ampe afya njema.
Mheshimiwa Museveni amekuwa Mwalimu, msuluhishi na muunganishi na kiongozi wetu ndani ya Jumuiya.
Tunapotaka kukengeuka anaturudisha katika misingi ya Jumuiya,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan.