Monday, March 9, 2026
spot_img
HomeHabariDkt. Samia: Kariakoo endeleeni kufanya biashara

Dkt. Samia: Kariakoo endeleeni kufanya biashara

“Ndugu zangu tukio hili ukiangalia kwa macho tu hata kama sio mtaalam linaashiria kuwepo kwa mapungufu ya kiutendaji na uwajibikaji. Hivyo basi wito wangu kila mmoja wetu atimize wajibu wake kikamilifu.

Ukiangalia jengo hili lilivyojengwa bila shaka lilipata vibali kutoka taasisi za serikali, Halmashauri wa eneo hili na wote wanaopaswa kutoa vibali,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments