Wednesday, March 4, 2026
spot_img
HomeMichezoDodoma Jiji yaibomoa KenGold, yamsajili Kipa Castor Mhagama

Dodoma Jiji yaibomoa KenGold, yamsajili Kipa Castor Mhagama

Dodoma Jiji imemtambulisha kipa Castor Mhagama kutoka KenGold, akiahidi kusimama imara langoni kwa ajili ya malengo ya timu.

Usajili wa kipa huyo ni sehemu ya mpango wa kuimarisha kikosi kuelekea msimu ujao chini ya kocha mpya Mashami Vicent.

Mhagama anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa baada ya Miraji Ahumani, Edgar William na Faraji Kayanda.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments