Habari

SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia

📌 Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika 📌  Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya  SADC 📌 Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati safi ya kupikia kupewa nguvu 📌 SADC yapongeza Tanzania mkutano wa Misheni 300 Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa kinara namba moja

SADC yaitaja Tanzania kinara utekelezaji ajenda ya nishati safi ya kupikia Read More »

REA yaja na mpango kuwezesha ujenzi vituo vya mafuta vijijini

·       Mkopo wa hadi Shilingi Milioni 133 kwa riba ya 5%-7% kutolewa ·       Marejesho ni ndani ya Miaka 7 ·       Lengo ni kuhakikisha bidhaa za mafuta zinapatikana kwa gharama nafuu ·       Wananchi watakiwa kuchangamkia fursa Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatekeleza mpango wa kuwezesha ujenzi na uendeshaji wa vituo vipya vidogo vya gharama nafuu vya bidhaa za

REA yaja na mpango kuwezesha ujenzi vituo vya mafuta vijijini Read More »

Mmiliki wa mgodi Mwanamke aongoza mageuzi ya uchimbaji wa Shaba Mpwapwa

Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya Matonya na Kinusi. Doreen ameonesha uongozi bora

Mmiliki wa mgodi Mwanamke aongoza mageuzi ya uchimbaji wa Shaba Mpwapwa Read More »

Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili Sekta ya Nishati na Maji

📌 Miundombinu ya usafirishaji umeme kikanda kujadiliwa 📌 Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele 📌 Mkakati mahsusi wa kuongeza watumiaji wa umeme Afrika (M300) kuwa moja ya Ajenda 📌 Maendeleo ya Sekta ndogo ya Mafuta na Gesi pamoja na umeme vijijini kujadiliwa Wataalam wa Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zake  leo wameshiriki katika Mkutano

Wataalam SADC wakutana Zimbabwe kujadili Sekta ya Nishati na Maji Read More »

Kanuni 10 Zisizoandikwa Zinazofwata na Madereva wa Bolt Waliofanikiwa

Tanzania, Dar es Salaam, 30 Juni 2024 – Kampuni ya usafiri wa mtandaoni, Bolt, inaendelea kuongoza kwa kushikilia asilimia 70 ya soko la huduma za usafiri nchini. Mafanikio haya yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na uwezo wake wa kuoanisha usalama, bei nafuu, na teknolojia bunifu inayokidhi mahitaji ya usafiri kwa tabaka mbalimbali za watumiaji. Katika mahojiano

Kanuni 10 Zisizoandikwa Zinazofwata na Madereva wa Bolt Waliofanikiwa Read More »