TANGA UWASA yaanza kuvuna matunda ya hatifungani ya kijani: Mabomba ya thamani ya bilioni 6.3 yakabidhiwa
Tanga, Tanzania – Hatimaye wakazi wa mikoa ya Tanga, Pangani, Muheza na Mkinga wananufaika moja kwa moja na matunda ya hati fungani ya kijani iliyotolewa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (TANGA UWASA), yenye thamani ya Shilingi Bilioni 53.12, ambayo ilianza kuuzwa rasmi tarehe 22 Februari 2024. Katika hatua kubwa ya […]