Saturday, November 8, 2025
spot_img
HomeHabariRais Samia alivyotoka ukumbini kupisha uchaguzi wa mgombea urais

Rais Samia alivyotoka ukumbini kupisha uchaguzi wa mgombea urais

Januari 19 2025, Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM, ulimchagua Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwa Mgombea Urais kupitia Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Tumekusogezea namna Dkt Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho, alivyotoka nje ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, kutii kanuni ili kuupa uhuru Mkutano huo kufanya Uchaguzi.

RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments