Habari

Watangazaji wanne wa Mjini FM wapigwa marufuku na Bodi ya Ithibati

Dar es Salaam, Julai 18, 2025Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewachukulia hatua kali watangazaji wanne wa kituo cha redio cha Mjini FM kwa kosa la kufanya kazi za kihabari bila kusajiliwa na kukiuka maadili ya taaluma ya habari. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari, Bodi hiyo imesema kuwa watangazaji hao wamepigwa marufuku […]

Watangazaji wanne wa Mjini FM wapigwa marufuku na Bodi ya Ithibati Read More »

Viongozi wa Benki ya NMB wahudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

DODOMA; Julai 17, 2025 Viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, CPA. David Carol Nchimbi,(Kulia) wakiwa ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC) jijini Dodoma, wakifuatilia kwa makini hafla ya uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Uzinduzi huo umefanyika leo chini ya uongozi wa

Viongozi wa Benki ya NMB wahudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Read More »

Ushirikiano wa NSSF na Mahakama chachu ya mafanikio katika hifadhi ya jamii

Na Mwandishi Wetu, SINGIDA Jaji wa Mahakama ya Rufani, Augustine Mwarija amebainisha kuwa ushirikiano imara kati ya NSSF na wadau, hasa Mahakama, umekuwa kichocheo kikubwa cha mafanikio ya mfuko huo.  Amesema kuwa ushirikiano huo unatoa nafasi ya kujadili changamoto kwa pamoja, kubadilishana uzoefu na kubuni njia bora za kuimarisha huduma kwa wanachama. Kauli hiyo hiyo

Ushirikiano wa NSSF na Mahakama chachu ya mafanikio katika hifadhi ya jamii Read More »

Waziri Jafo aahidi kulinda viwanda vya ndani kwa gharama yoyote

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amepanga kukutana na wazalishaji wote wa saruji nchini hivi karubuni ili kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili.  Aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam baada ya kukutana na wanachama wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini (CTI) ambao walimwelezea changamoto zinazowakabili.  Waziri Jafo alisema wazalishaji wa saruji wameelezea kilio

Waziri Jafo aahidi kulinda viwanda vya ndani kwa gharama yoyote Read More »

Dk. Mpango asisitiza ushiriki serikali, wadau wa afya na jamii kuimarisha huduma

📌Amref Tanzania yasisitiza kuimarisha mifumo ya afya ngazi ya jamii nchini Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango amesisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Serikali, wadau wa afya na jamii katika kuimarisha huduma za afya nchini. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akifungua Mkutano wa mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Halmashauri unaofanyika jijini Dodoma. Mkutano

Dk. Mpango asisitiza ushiriki serikali, wadau wa afya na jamii kuimarisha huduma Read More »

Dorothy Semu: CCM haitaki uchaguzi huru, lakini sisi tumejipanga

Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametoa kauli kali dhidi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), akikituhumu kwa kutoonyesha nia yoyote ya kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unakuwa huru na wa kuaminika. Akizungumza Julai 10, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki mkoani Kilimanjaro, Semu alisema, “Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada

Dorothy Semu: CCM haitaki uchaguzi huru, lakini sisi tumejipanga Read More »

Watumishi 366 wa Jeshi la Magereza Iringa wapatiwa mitungi, majiko ya gesi

Katika kuendelea kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imegawa mitungi ya gesi ya Kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili 366 kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Iringa. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi pamoja na majiko

Watumishi 366 wa Jeshi la Magereza Iringa wapatiwa mitungi, majiko ya gesi Read More »